Breaking News

DALILI ZA KUWA MNAPENDANA NA MPENZI WAKO

 


Dalili chache ambazo zitakufanya ujue kuwa unapendana na mpenzi wako.
1.UHUSIANO UKIWA NA UWIANO
Mahusiano ambayo yamefanikiwa ni yale yenye uwiano sahihi,,,,,,katika mahusiano mtakuwa tofauti wakati mwingine,,,,,na utofauti huu lazima uwe na ulingano

2.MNAFURAHIA KUSAFIRI PAMOJA
Njia rahisi kabisa ya kujua kama mnaendana ni kama mnafurahia mnapokuwa mnasafiri pamoja,,,watu wanaoendana hupenda kusafiri pamoja sehemu tofauti tofauti.

3.ULIYE NAYE ANAKUFANYA UJISIKIE VIZURI
Kuwa katika mahusiano ambayo yanakufanya ujisikie kama upo katika ubora wako,,sio mahusiano ambayo kila ukiyakumbuka unanuna,,

4.KUNA KITU MNACHOKIPENDA AMBACHO MNAFURAHIA KUKINYA PAMOJA
Mtakuwa labda na vitu viwili au vitatu ambavyo mnavipenda kuvifanya pamoja mfano kuogelea,kuangalia movie,,kuangalia tamthilia,,kusikiliza mziki,,kutembea na vingine,,,hii ni ishara ya kuwa mko pamoja.

No comments