Breaking News

JUA UPO KATIKA NAMNA GANI YA MAHUSIANO

 


Yaani kuna watu ukiwauliza kabisa hivi mpenzi wako anakupenda?anakosa cha kujibu na ukweli ni kwamba ni hajui na yeye mwenyewe anajiuliza swali hilo,,

Haipendezi kuwa kwenye mahusiano ambayo hayajulikani hata lengo lake nini,,
Yaani upo  na huyo mwenza wako na hujui kama upo kwenye mahusiano au unapotezewa muda tu.

Yaani vitendo anavyokufanyia vinaonesha kabisa kuwa hupendwi lakini unaendelea kujifariji tu,,

Yaani hata mtu akuulize upo kwenye mahusiano hujui hata cha kumjibu sababu mahusiano yako hayaeleweki
Jitathimini na kujitambua ili kujua kama anapendwa au hapendwi,,,hama hupendwi

chukua maamuzi magumu ya kuachana na hayo mahusiano na songa mbele,,,muombe Mungu akupatie mwanaume sahihi.

No comments