Breaking News

ELIMU YA MAHUSIANO NI MUHIMU SANA NA INA UZITO WA HALI YA JUU

 


Ubavu wako utakupa furaha kama wewe utatimiza majukumu yako kwa wakati na kwa usahihi,,,,cha kujiuliza ni je?unajua majukumu yako kwenye ndoa/mahusiano kama mwanaume au mwanamke,,,,mnafahamu misingi na kanuni za uchumba au ndo mnachukua wajibu wa ndoa mnapeleka kwenye uchumba,,,,
Elimu ya mahusiano ni ya muhimu na ina uzito wa hali ya juu sababu unaenda kuishi na mtu ambae sio ndugu yako,,,,na mmekutana ukubwani na kila mmoja amepitia Maputo yake yanayomfanya awe na tabia hiyo aliyonayo,,,,
Elewa mambo kwa upana na usikurupuke,,tulia na fanya tathmini kwa usahihi na kwa umakini mkubwa ili kujua ni nani anafaa kuwa nae maishani.

No comments