KUNA TOFAUTI KATI YA KAZI NA MAPENZI
Jua kuna muda wa kazi na muda wa kuenjoy na mpenzi wako,,SIO kila ukirudi kazini,,kumwambia tu mpenzi wako kuwa uko bize utamcheki baadae na hiyo baadae hata humtafuti na siku inaisha hivyo,,
Unapokuwa bize na mambo yako na kusahau wajibu wako katika mahusiano yako ukajitia kiburi kuwa huwezi kuachwa kwa kuwa anakupenda sana,,
Tambua kadri unavyo kuwa bize na mambo yako ndo jinsi unavyomfanya ajifunze kuishi bila wewe,,,yaani namaanisha kuwa kuna muda mpenzi wako anaweza kujikuta anakuwa msaliti kwenye mahusiano bila hata ya yeye kujijua.

No comments