Breaking News

UAMINIFU NI KILA KITU KATIKA KUDUMISHA MAHUSIANO

 


Imani yako kwa mwenza wako ndo kila kitu katika kudumisha pendo,,,,,imani iwepo kwenye matendo yanayompa mwenza wako amani na furaha maishani
Usimfanyie mwenza wako matendo ambayo hayaashirii imani yako thabiti ukadhani yeye sio mwelewa na atakuelewa tu
Mapenzi yana safari ndefu sana,,,amueni kuifanya ya kwenu iwe yenye kuleta afya njema,,furaha,,amani,,mafanikio na mwanga maishani.

No comments