Breaking News

KUWA NA MOYO WA SHUKRANI PALE MPENZI WAKO ANAPOKUFANYIA JAMBO FULANI.

 





Habari yako msomaji wangu,, leo nigusie juu ya neno shukrani,,kukosekana kwa jambo hili ni dhahiri NI kuwepo kwa moyo wa kaburi,,palipo na shukrani pana ustawi,,,shukrani huongeza nguvu ya upendo,,,pia huongeza busara na KUJALI,,,unapokuwa na moyo wa shukrani,,jua ni sehemu ya kukutofautisha na wengine,,,lakini pia neno asantee ni msingi wa tabia njema katika mahusiano,,,, kama umetendewa mema na mpenzi wako na bado unachukulia mazoea au ni haki yake kufanya hivyo na husemi asante jua unakosea,,kiwe kikubwa au kidogo sema asante,,awe kafanya kwako au kwa ndugu yako sema asante,,unaposhukuru unafanya mpenzi wako aone unatambua kile anachofanya kwako na kina umuhimu.

No comments