Breaking News

NDOA NI KUJIANDAA KIFIKRA NA KIMATENDO.

 




Maisha ya ndoa hayahitaji usanii au ujanja ujanja,,,Maisha ya ndoa yanahitaji utayari wa kuwa na utu uzima kwenye fikra NA matendo,,,,sio tu unaingia kwenye ndoa kwasababu kuna kitu kinaitwa ndoa,,,,jiandaeni kihisia,kiakili pamoja na kimwili,,,,,tafakarini pamoja kabla ya kuingia huko,,,,,ukikosea utajutia maisha au kupunguza siku zako za kuishi sababu ya msingi wa mawazo.

No comments