MAKOSA YANAYOFANYWA NA MWANAUME MPAKA KUPELEKEA ASALITIWE NA MPENZI WAKE
1.KUTOMPA KIPAUMBELE NA KUTOMTHAMINI
Wakati mwingine mume anaweza akampuuza na asimthamini mke/mpenzi wake licha ya kujitoa kwa moyo wote kumtunza na kuihudumia familia,,,hivyo kutotoa kipaumbele kwa mke ni kosa ambalo linaweza likamgharimu mume,,mke akipata mtu anayempa kipaumbele na kumthamini,,hakika hatoacha kuitumia hiyo fursa.
2.UKOSEFU WA MAHABA
Kwa asili mwanamke anahitajiko la kupendwa,,,mwanamke anahitaji kupendwa,,mwanaume yeye ana silika ya kupenda ngono,,ukimpa ngono tu basi anaridhika,,mwanamke anahitaji kupetiwapetiwa,anahitaji kudekezwa,anahitaji aambiwe maneno yenye ladha adimu yaliyochanganywa na vionjo vya ndimu,,mwanamke ndivyo anataka hivyo,mwanamke anataka aone kama anapendwa pia anataka apate mtu wa kumuelezea hisia zake,,,hivyo basi tusidharau mahitaji ya wenza wetu.
3.USALITI WA MUME
Miongoni mwa mambo ambayo yanabadilisha roho ya mwanamke ni pale anapogundua mume wake kipenzi anamsaliti,,hapo mwanamke anaweza kubadilika kabisa,,wapo wanaosamehe lakini wapo pia wanaoweza kulipa kisasi
4.KUTOJIAMINI
Mwanamke anahitaji mwanaume anayemfanya ajiamini iwapo mumewe hatekelezi jambo hilo,,akimpata mtu anayeweza kumfanya ajiamini,yanaweza kutokea mengine kabisa
5.KUTOMRIDHISHA KWENYE TENDO LA NDOA
Mwanamke asiyeridhika na tendo la ndoa anaweza kutafuta mbadala ili aweze kuridhika,,kwahiyo ni jukumu lako wewe kuongea na mke ili ujue ni mambo gani yanamfurahisha kwenye tendo,,usijifikirie wewe tu mfikirie na mkeo.

No comments