MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUMFANYIA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KWA DHATI
1.usimuumize moyo waje wala kufanya ajisikie vibaya kwa ajili yako.
2.usipretend unampenda ili ufanikiwe kufanya yako.
3.usimfananishe na wanawake zako waliopita au unaowatamani.
4.usimchukulie kirahisi rahisi,, never take her love for granted.
5.usimsaliti na kuonyesha kabisa dharau ili ajue kuwa unamsaliti.
6.usimvunjie heshima kwa kumgombeza mbele za watu.
7.usimpotezee muda wake kama huna mpango kabisa wa kumuoa,,unamchelewesha kupata mume bora.
8.usimfanye ajione hapendwi na ana mkosi hapa ulimwenguni,,huo ni ujuha.
9.usimpe mimba na kumkimbia au kumwambia aitoe,,kama huna nia ya kumuoa achana na hayo mambo,,nadhani unaj
No comments