Breaking News

MAPENZI YA KWELI HAYAHITAJI SIASA

 


Mapenzi ya kweli hayahitaji siasa,,,,,,jitahidi sana unalolisema mdomoni basi linageuka kuwa vitendo,,,,,usiishi tu kwa maneno kwasababu vitendo vina sauti kuliko hayo maneno.

No comments