Wodi Mapenzi, Dating Site Mpya ya Nesi Mapenzi
Nesi Mapenzi imekuja na kitu kipya. Imekuja na app ambayo inasaidia wote walio single na wale ambao wangetamani kukutana na wachumba/marafiki ambao watashare mawazo tofautitofati.
Unachohitajika ni kudownload app hii mpya na ujisajili na utafute anayekufaa. Dating site hii tumeitengeneza baada ya requests kadhaa kutoka kwenu hivyo tunaomba saport kutoka kwenu. Site bado ni changa but soon itakuwa active kama mtajiunga kwa wingi. Download app yenyewe hapa
No comments