Kama una malengo makubwa katika mahusiano yako basi usiache kumtanguliza Mungu,,ili awatangulie katika kutengeneza familia bora ambayo itaongozwa na hekima zake,,,,,kama utamtanguliza Mungu katika mahusiano yako basi yatafika mbali zaidi.
KATIKA MAHUSIANO YENU MTANGULIZENI MUNGU KWANZA
Reviewed by Tasboy
on
10:23 AM
Rating: 5
No comments