Breaking News

MAPENZI YA KWELI YANA RAHA SANA

 



Mapenzi ya kweli yana raha yake hasa ukipata mtu anayekupa tabasamu,,kila siku utakuwa mtu mwenye furaha hata kama kuna baadhi ya changamoto,,,
Kama mahusiano yako yanakufanya ujutie kupenda,,basi nakuombea sana Mungu akujalie mwenza atakayetengeneza dunia ya mapenzi ndani yako.

No comments