Breaking News

FACEBOOK CHATTING….2

 

Sikutaka kuchelewa, nilichokifanya ni kumpigia na kuanza kuongea kwa dakika chache na kisha kurudi tena kwenye meseji ndani ya mtandao wa Facebook. Sauti yake ilikuwa nzuri sana, yaani ilifanana na jinsi alivyokuwa. Mara nikashtukia meseji kutoka kwake ikiingia kwenye akaunti yangu ya facebook.
MSICHANA: Mmmh! Una sauti nzuri mpenzi.MIMI: Hahaha! Acha kunizingua bhana. Mbona sauti yangu mbaya sana.MSICHANA: Nzuri, nimeipeda sana.MIMI: Asante. Hata yako nzuri pia. Ulikuwa muimba kwaya nini?MSICHANA: Yeah! Ila nilipokuwa nchini Marekani.MIMI: Basi ndio maana.MSICHANA: Naomba tuendelee kuchati baadae mpenzi. Mama amenipigia simu na kuniambia anataka twende Mlimani City kufanya shopping ya vyakula na mavazi.MIMI: Poa. Ila kama ukichelewa sana, unaweza kunikuta nimelala.MSICHANA: Usijali, nitawahi.MIMI: Ok.MSICHANA: Nakupenda mpenzi.MIMI: Nakupenda pia.
Hiyo ndio ilikuwa siku ya kwanza kuanza mahusiano na msichana ambaye sikuwahi kukutana nae. Nikajiona kikizama kwenye mapenzi kwa asilimia mia moja, moyo wangu ukaonekana kumhitaji kupita kawaida.
MIMI: (Mawazoni: Dah! Nimeshachanganyikiwa sasa. Ngoja nilale then nichati nae hiyo usiku).
Akili yangu ilikuwa imechoka sana na hivyo nilihitaji muda wa kulala. Nililala kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa mbili usiku. Nilipoamka, nikaelekea kuoga, nikala na kisha kuwasha laptop. Nilipojiunga na mtandao wa facebook, msichana yule alikuwa miongoni mwa marafiki zangu waliokuwa online.
MSICHANA: Waaaoooo! Karibu mpenzi.MIMI: Asante.MSICHANA: Nimekumiss mpenzi.MIMI: Nami pia baby. Kuna jipya?MSICHANA: Mengi tu.MIMI: Kama yapi?MSICHANA: Nilitaka kumwambia mama kuhusu wewe. Ameniona kuwa wa tofauti sana leo, muda wote alikuwa akiniona kuwa na furaha.MIMI: Naomba usifanye hivyo.MSICHANA: Kwa nini?MIMI: Muda bado wa kufanya hivyo.MSICHANA: Lakini ni kitu cha kawaida baby. Unafikiri atanigombeza? Wala hatoweza kufanya hivyo.MIMI: Najua ila naomba usifanye hivyo kwa sasa.MSICHANA: Sasa unataka nimwambie lini?MIMI: Siku yoyote ile lakini sio wiki hii.MSICHANA: Sawa. Ninauheshimu uamuzi wako.MIMI: Nashukuru kwa kunisikiliza mpenzi.MSICHANA: Kuna kitu nataka kufanya.MIMI: Kitu gani?MSICHANA: Nimemwambia rafiki yangu kuhusu wewe.MIMI: Rafiki yupi?MSICHANA: Rafiki yangu, Lydia.MIMI: Ndiye nani huyo?MSICHANA: Ninasoma nae shule. Amefurahia sana. Naweza kumuonganisha tuchati pamoja nae?MIMI: Kwani yupo online kwa sasa?MSICHANA: Ndio. Tena amenitumia meseji na kuniambia kuwa tuchati wote watatu.MIMI: Poa. Tengeneza kundi la watu watatu.MSICHANA: Sawa
Nikabaki kimya, msichana huyu alionekana kuchanganyikiwa zaidi yangu, mapenzi yalikuwa yakionekana kumchanganya akili yake kupita kiasi. Kwa jinsi alivyokuwa na furaha, nilimuona kuwa na kiu ya kutaka kumfahamisha kila mtu kuhusu uhusiano wetu.
MSICHANA: Tayari.MIMI: Mambo Lydia.LYDIA: Poa. Mzima shemejiMIMI: Mzima tu. Maisha yanasemaje?LYDIA: Safi tu. Mbona umemchanganya sana rafiki yangu?MIMI: Nimemchanganya au kajichanganya?MSICHANA: Umenichanganya.MIMI: Hapana bwana. Umejichanganya wewe mwenyewe.LYDIA: Kwa hiyo amejichanganya yeye mwenyewe?MIMI: Ndio. Au kama nimekosea sana, acha niseme kwamba mapenzi ndio yaliyomchanganya.LYDIA: HahahahaMSICHANA: Sasa unacheka nini na wewe.LYDIA: Case closed. Wewe umeniambia amekuchanganya kumbe umejichanganya wewe mwenyewe. HahahahaMSICHANA: Unacheka unaona mazuri Lydia? Nimejaribu kusoma lakini nashindwa kabisa, yaani kila nikijaribu, nakuwa sina hamu kabisa. Si unaona hata kukupigia simu nimeshindwa siku ya leo.LYDIA: Acha utoto wewe. Unajifunza kupenda nini?.MIMI: Ajifunze wapi huyo. Anaonekana mzoefu tu wa mapenzi.MSICHANA: Nani kakwambia kama mimi mzoefu? Au kwa sababu ya picha?LYDIA: Picha gani tena?MSICHANA: Hayakuhusu na wewe.LYDIA: Sasa kama hayanihusu kwa nini umeniambia niongee nae?MSICHANA: Nimekwambia uongee nae lakini si kumuuliza kuhusu picha. Hilo niachie mimi na Nyemo wangu.MIMI: Mbona mnakuwa kama hamueleweki? Tatizo nini tena?.MSICHANA: Hakuna tatizo mpenzi. Naomba turudi kwenye chartin yetu kama kawaida. Achana na huyu Lydia.MIMI: Mbona umebadilika ghafla mpenzi?MSICHANA: Kawaida tu.LYDIA: Ok! Usikasirike rafiki yangu. Nyemo naomba unitumie friend request.MSICHANA: Hapana. Sitaki. Usimtumie mpenzi.MIMI: Kwa nini?MSICHANA: Basi tu.LYDIA: Acha wivu shosti. Haujiamini?MSICHANA: Najiamini ila naogopa udhaifu wa mwanaume.MIMI: HahahahaMSICHANA: Unacheka kwani uongo? Nyie wadhaifu sana. Huyu Lydia anaweza akaleta matatizo katika mahusiano yetu. Mahusiano yenyewe bado machanga sana.MIMI: Aya. Umeshinda wewe mpenzi. Kama vipi usiku mwema Lydia, naona dogo ameshakasirika bhana.MSICHANA: Nani dogo?MIMI: Wewe. Kwani unajiona mkubwa? Bado mdogo.MSICHANA: Sawa. Wewe si mkubwa! Usiku mwema Lydia.LYIDA: Nanyi pia.
Mawasiliano ya watu watatu yakakatika muda huo, kundi la kuchati la watu watatu likafutwa na kurudi katika mawasiliano ya kawaida. Kuna hali nikaanza kuigundua, msichana huyu alikuwa akionekana kuwa na wivu sana, alitaka mimi niwe wake kama wake tena peke yake, hakutaka mtu yeyote amuingilie kwenye mapenzi yake. Tukaanza kuchati kama kawaida yetu.
MSICHANA: Unataka niibiwe mali yangu.MIMI: Hahahaha! Wasiwasi wako tu. Mwizi hawezi kukuibia kama sijampa nafasi ya kukuibia.MSICHANA: Sawa bwana.MSICHANA: Naomba kitu kimoja mpenzi.MIMI: Kitu gani?MSICHANA: Nimeshindwa kuvumilia kabisa.MIMI: Kuvumilia nini?MSICHANA: Nimeshndwa tu. Naomba tufanye mapenzi kwa njia ya simu.MIMI: Mbona unakuwa na haraka hivyo?MSICHANA: Ndio maana nimesema naomba. Naomba unisaidie katika hilo mpenzi. PleaaseeeMIMI: Sawa.MSICHANA: Nashukuru kwa kunisikiliza.MIMI: Usijali. Ila mchezo huu una sheria zake ili uchangamke.MSICHANA: Sheria gani?MIMI: Moja, Utatakiwa kufanya kila kitu nitakachokwambia. Usipofanya tu, umeharibu mchezo.MSICHANA: Nitafanya.MIMI: Mbili, Unatakiwa kunipa nafasi mwilini mwako. Wewe kuwa kila sehemu ya mwili wako, ila mikono yako acha niwe mimi.MSICHANA: Sawa. Hakuna tatizo.MIMI: Simu yako inatumia hearphone?MSICHANA: Ndio.MIMI: Basi kwa leo tumia hizo.MSICHANA: Sawa. Kuna kingine mpenzi?MIMI: Ndio. Nitumie namba yako ya vodacom. Nataka tutumie mtandao huo leo. Tigo network yao inazingua sana, wanaweza kutukatisha mara kwa mara.MSICHANA: Sawa.
Wala hakutaka kuchelewa, hapo hapo akanitumia namba yake ya Vodacom japokuwa alikuwa akitaka yeye kunipigia. Muda ulizidi kwenda, msichana yule alionekana kuwa na kiu kubwa ya kufanya mapenzi kwa kutumia njia ya simu. Kila wakati alikuwa akiniambia wazi kwamba muda ulikuwa hauendi kabisa. Ilipofika saa tano, nikampigia kwa kutumia laini ya Vodacom, akakata simu na kisha kunipigia. Hakujua kama mimi ndiye nilikuwa mkali wa kufanya mapenzi kwa njia ya simu. Nilikuwa nikiufahamu sana mchezo ule ambao ulikuwa unachezwa sana na vijana kama sisi ambao tulikuwa tumekulia uswahilini, hasa huku Tandale.
MIMI: Upo tayari?MSICHANA: Ndio.MIMI: Uko peke yako chumbani?MSICHANA: Ndio.MIMI: Unaikumbuka sheria yetu ya kwanza?MSICHANA: Ndio.MIMI: Ilikuwa inasemaje?MSICHANA: Nifanye kila utakachoniambia.MIMI: Safi sana. Naomba uzime taa.vNikaanza kumsikia akiinuka kitandani, baada ya muda, nikaisikia switch ikilia kuona kwamba tayari alikuwa amezima taa ya chumbani kwake na kisha kurudi kitandani.
MIMI: Umevaa nini hapo?MSICHANA: Nguo ya kulalia pamoja na nguo ya ndani.MIMI: Naomba ubaki na nguo moja tu. Hautakiwi kuwa na nguo ya ndani.MSICHANA: Mmmh!MIMI: Unaguna nini sasa? Wewe si ndio umeomba tucheze huu mchezo.MSICHANA: Sawa.MIMI: Umeshawahi kucheza mchezo huu?MSICHANA: Ndio. Ila haukuwa na masharti hayo.MIMI: Hahahaha! Huyo uliyecheza nae alikuwa mgeni na mshamba tu. Leo umefika kwangu, mtoto wa uswahilini ambaye nina ujuzi wote wa kuucheza mchezo huo. Unakumbuka sheria yetu ya kwanza?MSICHANA: ndio.MIMI: Fanya hivyo basi.
Akabaki kimya kwa muda. Nikasikia kama akiwa anainuka kitandani na baada ya muda, tukaendelea.
MSICHANA: Tayari.MIMI: Safi sana. Itegeshe mike ya Hearphone yako karibu na mdomo. Ipe mikono yako uhuru. Wakati mwingine, unaweza kufumba macho. Itulize akili yako kabisa, achana na kufikiri mambo mengine. Isikilize sauti yangu kwa makini, nitakwenda kuongea maneno mengi, yanayotakiwa kufanya na wewe, fanya kama nitakavyokwambia. Hakikisha umelala chali. Umesikia mpenzi.MSICHANA: (Huku sauti yake ikianza kubadilika na kuwa ya chini) Sawa.MIMI: Tunakwenda kuanza mchezo huu. Mchezo huu utaanzia mwilini mwako, nitakwenda kuitembelea kila sehemu yako ya mwili. Kumbuka kwamba mikono yako ndio mimi kwa sasa. Hakuna maswali, tulia na niache nifanye kazi yangu.MSICHANA: Sawa mpenzi.MIMI: Tunakwenda kuanza mchezo wetu. Tunaanzia kifuani kushuka chini.MSICHANA; Sawa.
Kuanzia hapo, mchezo ulivyochezwa hautoweza kuelezwa sana kwa sababu ya matumizi ya facebook kutumiwa hadi na watoto walio chini ya miaka 18. Usiulize maswali wala usibishe. Kuna watoto wengi huku mtaani kwetu ambao ni marafiki zangu na wote wanaisoma post hii. Sitoelezea sana mchezo huu kwani sitotaka kuiharibu saikolojia yao, ufahamu nilio nao kwenye mchezo huu acha ubaki kuwa wangu tu, sitaki kuibiwa maujuzi kabisa. Kila mtu anatakiwa kuucheza mchezo huu kwa kutumia ujuzi wake na si kuiba ujuzi kutoka kwangu kwani unaweza kumuua hata binti wa watu na kuniletea matatizo.
NB: Watoto wengi, sehemu hiyo inakatishwa kidogo na wala haitoelezewa kwa kina.
Mchezo uliendelea zaidi na zaidi, kila wakati nilikuwa namsikia akipumua kwa nguvu huku akilalamikalalamika. Bado nilikuwa nikiendelea kama kawaida. Dakika kumi zikapita, niliendelea kuongea nae, dakika ishirini zikapita, nusu saa na hadi saa moja, bado alikuwa akilalamikalalamika tu.
MSICHANA: Stooooooooooopppppp (Aliitoa sauti yake kimahaba)MIMI: Nini tena?MSICHANA: Stooooooopppp mpenzi. Aaaaggggghhhhh! Naomba nipumzike.MIMI: Mbona unaomba kupumzika tena na wakati bado masaa kama matatu hivi?MSICHANA: Utaniua. Nimeshindwa kujizuia mpenzi.MIMI: PoleeeeeMSICHANA: Asante. Ngoja nikaoge kwanza.MIMI: Vipi tena?MSICHANA: Umenichafua.MIMI: Hahahaha! Nimekuchafua au umejichafua?MSICHANA: Umenichafua. Haukumbuki ulisema uwe mikono yangu?MIMI: Ok! Nimekuelewa. Ukitoka huko naomba ulale. Mimi mwenyewe nimejichafua pia. Nakwenda kuoga, sitokuwa na nguvu ya kuendelea. Acha nilale kwanza mpaka kesho. Usiku mwema.MSICHANA: Nawe mpia mpenzi (Bado sauti yake ilikuwa ikisikika kimahaba)
Nikabaki nikicheka sana, sikuamini kama msichana yule hakutaka kuendelea kuucheza mchezo ule na wakati ndio kwanza tulikuwa tumetumia dakika sitini tu. Nikaenda kuoga na kisha kurudi kitandani. Sikutaka kuwasha simu yangu kwani nilijua kwa namna moja au nyingine angenitafuta tu.Kesho, nikaanza kuelekea chuoni. Akili yangu nikaituliza huku ikionekana kama kutokukumbuka kitu chote kilichotokea. Saa tano na nusu nikawasha simu yangu na kukutana na meseji zake tano.
ITAENDELEA..

No comments