DALILI ZA MKE AU MCHUMBA ALIYEKULISHA LIMBWATA LA KUTUKUKA
1. Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana
2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje
3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira ila wa Mkeo meno yote 32 nje
4. Unasikia uvivu kwenda kusalimia Kwenu ila kwa Mkeo unatamani uende kila siku
5. Ukiombwa Hela na Ndugu zako unawaambia subiri hadi uzungumze na Mkeo Kwanza
6. Ukipokea tu Mshahara lazima utamwambia hata kama hajakuuliza
7. Ukiwa nae Kitandani unaogopa kumwomba Mbunye hadi akuambie Yeye
Je kwa dalili hizo hapo juu kuna mwana JF yoyote ambaye ni Mume wa Mtu zimemhusu kwa 100%?
No comments