MANENO MATAMU YA KUSEMA KWA MSICHANA UNAPOKUTANA KWA MARA YA KWANZA
1.Sijui unachofikiria juu yangu, lakini nakufikiria wewe kila wakati.
2.Sitawea kushangaa endapo unanifikiria kama mimi ninavyokufikiria wewe..
3.Kamwe siamini katika nguvu ya maua, lakini nilipokutana na wewe nina uhakika nimefanya kitu fulani sahihi ambacho sijakifanya maisha yangu yote.
4.Natamani ungekuwa sarafu, ya kuwa ningekutunza ndani ya pochi yangu na kukuchukua popote niendapo.
5.Ninapoamka namwomba na kumshukuru mungu kwa kukuleta katika maisha yangu
6.Siwezi kukutoa akilini mwangu kwa sababu nahitaji wewe uwepo nami.
7.Kukupenda wewe ni hatua ya kwanza ya kuamsha maisha yangu.
8.Kuna wakati nahisi upweke na hali ngumu kwa muda huo, huchukua muda wa kukupigia na kuhisi nipo na wewe nikiwa nimekushikilia upande wangu.
9.Kila ninapokutazama nakuwa na imani kwamba Mungu ni mwema na kuweka nguvu zaidi na muda wa kufanya kazi.
10.Unanifanya nijisikie muhimu katika maisha ya kila siku.
11.Kuna siri gani ya kuangalia zaidi na zaidi uzuri kwa kila siku inayopita.
12.Nitafanya kila kitu ili kukufanya wewe ujisikie furaha maisha yako yote.
13.Kuongea na wewe kila siku inanifanya nielewe jinsi ilivyo shukrani ya kuwa na mtu kama wewe.
14.Mungu amejibu maombi yangu yote, kunipa zawadi nzuri ambayo ni wewe.
15.Moyo wangu kwako umepata, nipe wa kwako kwangu, tuifungie pamoja na tutupe ufunguo kusikojulikana.
16.Nakuhitaji wakati wote, siku zote, miaka yote, na hata mwisho wa maisha.
17.Karibu uishi ndani ya moyo wangu bila ya kulipa kodi.
18.Nina furaha nimekutana na wewe.
No comments