Breaking News

FAIDA ZA KUKUMBATIANA

 

Hugging ni natural, ni kitendo kinachotupa afya,
Kukumbatiana ni sayansi, njia rahisi ya Kusaidiana, kuponya, kukua na ina kipimo cha ajabu katika matokeo yake.
Pia kukumbatiana ni sana, kuguswa si tu ni vizuri bali pia ni hitaji, sayansi inathibitisha kwamba kuguswa ni muhimu kwa maisha yetu kihisia na maisha kwa ujumla
Pia imethibitika kwamba hugging husaidia maendeleo ya mtoto katika kujua lugha na IQ.
Hugs ni tamu, huondoa upweke, huondoa hofu, hufungua milango kwa ajili ya feelings, hujenga mtu kuwa jasiri, hupunguza kuzeeka, kuongeza hamu ya chakula, husaidia kuweka mikono, mabega katika ubora zaidi pamoja na misuli yake, kama wewe mfupi basi hugs zinakufanya kazi nzuri kukunyosha (kunyumbulika) vizuri na kama wewe ni mrefu basi hugs hukuwezesha kukupa zoezi la kujikunja na kujinyosha.
Kidemokrasia hugs zinamfaa mtu yeyote bila kufuata chama kama ni chama tawala au chama cha upinzani, zinawafaa maskini na matajiri, watu weupe au weusi, wanene au wafupi, wenye dini na wasio na dini wote zinawafaa
Hugging hazina caffeinenicotine wala calories na artificial ingredientsyoyote, asilimia mia moja ni pure safi kabisa.
Hugging ni halisi, kitu timamu ambacho hakina kitu chochote hatari haihitaji battery wala checkups ya kila siku, hata wakati wa hugginghuhitaji nguvu bali ukipata hugging unapata nguvu maradufu.
Huwezi kulipishwa kodi kwa hugging, huwezi kupata unene kwa hugging, huwezi kupata pollution kwa hugging, hakuna bills za kutoa hugging,wala hakuna inflation kwa hugging.
Hugging ni afya kwa mwili na roho, huponya msongo wa mawazo, kupunguza mawazo, huongeza uwezo wa kupata usingizi.
Huwezesha mwili kuwa na immunity ya kutosha kwa kupambana na magonjwa, huhuisha maisha ya mtu bila side effects kama medicationszingine
SABABU ZINAZOFANYA WANAUME WAWE WANAPENDA KUKUMBATIWA NA WAPENZI WAO WANAWAKERaha ya mguso wa matiti
Wanaume hujisikia salama
Husaidia kushuka chini wakiwa na hasira
Hujisikia ana rafiki wa kweli
Hujisikia kupendwa
Naweza kumnusa mpenzi wangu na kupata harufu nzuri aliyonayo
Kufurahia kuamshwa kimapenzi
Hujisikia ni mali yake
Ni nafasi na kutoa na kupokea upendo
Kusikia joto la upendo
SABABU ZINAZOFANYA WANAWAKE WAWE WANAPENDA KUKUMBATIWA NA WAPENZI WAO WA KIUMEInawafanya kujisikia kupendwa
Hujisikia wameunganishwa na kuwa karibu zaidi
Najisikia salama
Ni dawa kisaikolojia
Najisikia joto la upendo
Najisikia kulindwa
Hufarijika na kujiona mwanaume anamjali
Hujisikia vizuri miili kugusana na kujisia mtu muhimu
Hugging ni dawa yenye miujiza!Hugs ni free ndiyo maana wengi wanachukulia ni for granted, kama hugszingekuwa zinauzwa kwenye maduka au stores au supermarkets, genge, kilabuni, sokoni, minada, stock exchange au grocery basi kwanza bei yake ingekuwa haishikiki na pia kila mtu angekimbilia kununua angalau japo apate moja kwa siku.
Hata kama hugs ni bure zisipotumika hazina thamani yoyote.
Hugs zisizotumika hupotea milele ni kama maji hazizoleki.
KUMBUKA!Hakuna kitu kinaitwa hugs mbaya, hugs zote ni nzuri.
Lazima ukumbatiane na mtu angalau kwa siku mara moja na kama kuna mvua angalau mara mbili kwa siku.
Pia kumbuka kukumbatiana huku unatabasamu, kufumba macho si lazima
Kukumbatiana wakati mnaenda kulala hufukuza ndoto mbaya
Usikumbatie kesho kama leo mnaweza kukumbatiana!
Hug – Hug – Hug – Hug – Hug – Hug -Hug
Kumatiana Kumbatiana Kumbatiana
Kila siku usiache !

No comments